Pages

Thursday, January 3, 2019

Audio Gospel Song: Agnes Hiza "Unanishindia"

 Sikiliza wimbo wa Agnes Hiza "Unanishindia"
 

Sunday, September 23, 2018

PICHA 2:BAADHII YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJLI WALIOMSINDIKIZA HARIS LUPENZA KTK UZINDUZIHYRD

 Jesca Gazuko(kulia)na Happy Milinga kushoto
Agnes Hiza(kushoto) Jesca Gazuko(katikati) na Happy milinga  

PICHA 3: HARIS LUPENZA KTK UZINDUZI WAKE LEO HII NDANI YA KANISA LA LIVING W ATER GONGO LA MBOTO MWSHO!





Monday, March 12, 2018

Julius Mgundoy autambulisha wimbo wake mpya "Zamu Yangu" SUA fm

Mwimbaji mwenye kipaji kikubwa cha kumsifu Bwana kwa njia ya uimbaji Julius Mgundoy, ameutambulisha wimbo wake mpya "Zamu Yangu" SUA fm - Morogoro. Mungu ambariki sana. Sikiliza mahojiano hapo chini.

Monday, February 26, 2018

Audio: Sikiliza wimbo wangu "Mpenzi Mwema"

Sikiliza wimbo wangu "Mpenzi Mwema" hapo chini


Audio: Sikiliza wimbo wangu "Nioshe Yesu"

Sikiliza wimbo wangu "Nioshe Yesu"

Sunday, February 25, 2018

Audio: Sikiliza nikiutambulisha wimbo wangu “Nioshe Yesu” SUA FM

Leo nilipata fursa ya kuutambulisha wimbo wangu wa “Nioshe Yesu” kwa mara ya kwanza. Wimbo huo wa taratibu na wenye ujumbe mkubwa ndani yake niliutambulisha kwa watanzania kupitia SUA FM – Morogoro kwa mahojiano nami kwa njia ya simu yaliyofanyika leo tarehe 25 feb 2018 saa 1:30 asubuhi. Sikiliza mahojiano hayo hapo chini.