Pages

Sunday, February 25, 2018

Audio: Sikiliza nikiutambulisha wimbo wangu “Nioshe Yesu” SUA FM

Leo nilipata fursa ya kuutambulisha wimbo wangu wa “Nioshe Yesu” kwa mara ya kwanza. Wimbo huo wa taratibu na wenye ujumbe mkubwa ndani yake niliutambulisha kwa watanzania kupitia SUA FM – Morogoro kwa mahojiano nami kwa njia ya simu yaliyofanyika leo tarehe 25 feb 2018 saa 1:30 asubuhi. Sikiliza mahojiano hayo hapo chini.

0 comments:

Post a Comment