Pages

Monday, March 12, 2018

Julius Mgundoy autambulisha wimbo wake mpya "Zamu Yangu" SUA fm

Mwimbaji mwenye kipaji kikubwa cha kumsifu Bwana kwa njia ya uimbaji Julius Mgundoy, ameutambulisha wimbo wake mpya "Zamu Yangu" SUA fm - Morogoro. Mungu ambariki sana. Sikiliza mahojiano hapo chini.

0 comments:

Post a Comment